Kuna matatizo mengi ya simu za androids ikifikia wakati unataka kuflash si lazima uwaze sana na kufikiria utafanyaje na pesa wakati huo huna chochote lakini umejaliwa kuwa na pc nzuri,usb ya hiyo simu na una access ya internet.Tulia hiyo hapo juu ni video ya step by step fuatana nayo.