+255 625 904 239
+255 765 536 480

  Starcom Media Lab

  Services inquiry line 

Who We Are

Starcom Media Lab  tunashughulika na ufundi  wa vifaa mbalimbali vya kielectronics, kama computer both hardware & Software,Simu hardware,flashing & unlocking,Video shootings & Editings Graphics Designing,Networking napia tunauza kwa oda maalumu popote ulipo vifaa hivi used na Brand new

         Sisi kwetu mteja ni mfalme tunafanya kazi kufikia matazamio ya mteja katika kuhakikisha anamiliki na kutumia kifaa bora kwa kumwelimisha na kumshauri bidhaa bora rafiki kulingana na mazingira pia kipato chake.Tembelea  website yetu peruzi kurasa zetu Tuna mengi ya kukupa katika ulimwengu huu wa teknolojia.Tutafute kwa suluhisho la kiufundi kiushauri na jadili nasi changamoto za mabadiliko ya kiteknolojia